Tuesday, December 13, 2016

Sera ya faragha

Sera hii ya usiri inaweka wazi matumizi yenye usiri ya Shirika la Bible League International juu ya kitumizi hiki cha majaribio ya Biblia. Sera hii ya usiri inalenga matumizi ya kitumizi hiki tu. Kitumizi hiki ni cha kusomea Biblia na hakikusanyi taarifa zozote binafsi. Uchambuzi wa  Google unafuatilia matumizi ya kitumizi hiki. Uchambuzi wa Google utatoa taarifa kuhusiana na idadi ya matumizi ya kila mara moja ya kitumizi  hiki, katika nchi ambazo kinatumika, aina ya simu inayotumika kukifungua kitumizi hiki kwa mfano, simu ya techno, ambayo itakuwa imeunganishwa na mtoa huduma wa mahali hapo kama vile Airtel. Uchambuzi wa Google hautachambua jina lako, anwani ya barua pepe, namba ya simu, au taarifa yoyote iliyo ya binafsi. Unaweza kuchagua kutuma maoni yako juu ya kitumizi hiki kwa waliokiandaa kutumia barua pepe ifuatayo johannesmagige@ymail.com .Kufanya hivyo kutawapa waandaaji taarifa za barua pepe yako, lakini hata hivyo taarifa hii haitachukuliwa ama kutunzwa na kifaa ama uchambuzi wa Google.

Updates
Sera hii ya usiri inaweza kubadilika. Habari mpya zote zitarushwa katika ukurasa huu.
Ikiwa utaona kwamba hatufuati sera hii ya usiri basi uwasiliane nasi mara moja kwa simu namba hii +255733390934 au barua pepe hii johannesmagige@ymail.com.