Sera hii ya usiri inaweka
wazi matumizi yenye usiri ya Shirika la Bible League International juu ya
kitumizi hiki cha majaribio ya Biblia. Sera hii ya usiri inalenga matumizi ya
kitumizi hiki tu. Kitumizi hiki ni cha kusomea Biblia na hakikusanyi taarifa zozote
binafsi. Uchambuzi wa Google unafuatilia
matumizi ya kitumizi hiki. Uchambuzi wa Google utatoa taarifa kuhusiana na
idadi ya matumizi ya kila mara moja ya kitumizi
hiki, katika nchi ambazo kinatumika, aina ya simu inayotumika kukifungua
kitumizi hiki kwa mfano, simu ya techno, ambayo itakuwa imeunganishwa na mtoa
huduma wa mahali hapo kama vile Airtel. Uchambuzi wa Google hautachambua jina
lako, anwani ya barua pepe, namba ya simu, au taarifa yoyote iliyo ya binafsi. Unaweza
kuchagua kutuma maoni yako juu ya kitumizi hiki kwa waliokiandaa kutumia barua
pepe ifuatayo johannesmagige@ymail.com .Kufanya hivyo kutawapa waandaaji taarifa za barua
pepe yako, lakini hata hivyo taarifa hii haitachukuliwa ama kutunzwa na kifaa
ama uchambuzi wa Google.
Updates
Sera hii ya usiri inaweza
kubadilika. Habari mpya zote zitarushwa katika ukurasa huu.
Ikiwa utaona kwamba
hatufuati sera hii ya usiri basi uwasiliane nasi mara moja kwa simu namba hii +255733390934
au barua pepe hii johannesmagige@ymail.com.